Sunday, March 6, 2016

BARUA YA WAZI KWA MHESHIMIWA JOHN POMBE MAGUFULI - RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO

Mheshimiwa Rais,Mimi ni Raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ninakupongeza sana kwa kazi nzuri unayofanya kuhakikisha kwamba wananchi wote wa Tanzania wanafaidi matunda ya Uhuru.Mheshimiwa Rais,Ninakupongoza na ninakuombea kwa Mwenyezi Mungu ili uendelee kutimiza...
Powered by Blogger.