Thursday, June 22, 2017

Siri ya Herufi ya Mwanzo ya Jina Lako

HERUFI AMwenye jina linaloanziana na herufi A ni mtu anayependa mambo makubwa, anajiamini na mwenye uwezo wa kutimiza malengo yake. Ni mtu mwenye tahadhari, mchangamfu na mpenda matukio. Anapenda Kuheshimiwa, anapenda Mamlaka, na ana kiburi, na hasira.HERUFI Bwenye jina linaloanziana...

Saturday, June 17, 2017

Umaskini Wako Chanzo Chake Hiki Hapa!!!!

Kuna wakati umekuwa ukujiuliza sana kwa nini wewe ni maskini na kwa nini wengine ni matajiri, labda nikwambie tu hivi, usiendelee kujiuliza swali kama hili ngoja tu ni kupe jibu la moja kwamba, umaskini au utajiri unaanzia kwenye akili yako.Kile unachokifikiria sana kwa muda...

Wednesday, June 14, 2017

Tajirika na Kilimo cha Nyoka: Tuwapende na Kuwatumia Nyoka Badala ya Kuwa

Kilimo cha nyoka ni moja ya kilimo yenye faida sana ,mmoja anaweza akaanzisha kilimo hichi ukizingatia thamani ya "snake venom" ipo juu sana.Sumu ya nyoka inatumika kwa wingi kwenye viwanda vya famasia na viwanda vya vipodozi hivyo thamani ya "snake venom " ipo juu sana...

Hatua 10 Muhimi za Kumchagua Mchumba Mtakae Funga Ndoa

Wengi wamejikuta wakiitwa wahuni kutokana na kuwa na uhusiano wa kimapenzi na makundi ya wanaume au wanawake. Hata hivyo wachunguzi wa masuala ya mapenzi wanasema idadi kubwa ya wapenzi si kigezo sahihi cha kupima tabia ya mtu na kumhusisha na uhuni. Watalaam hao wanataja...

Sunday, March 26, 2017

Kama Unaogopa Kufanya Kitu Hiki, Sahau Kuhusu Mafanikio Katika Maisha Yako Yote...!!!

Fikiria kila unachokijua na kukikumbuka kuhusu mabadiliko unayotaka yawe katika maisha yako, halafu  uone ukweli huu  kama kweli nawe ni mmoja kati ya watu wanaotaka mafanikio au uko nje ya mstari wa mafanikio na pengine tu wewe hujijui. Kama kweli unataka mafanikio,...

Fahamu Mambo Matano ya Kushangaza Kuhusu Tangawizi

TANGAWIZI ni kati ya viungo mahili vinavyochochea ladha nzuri katika vyakula vya aina mbalimbali na hivyo kuwavutia walaji kula chakula husika. Tangawizi pia inapowekwa kwenye vyakula vigumu kama nyama huifanya ilainike na hivyo kuweza kuiva kwa haraka zaidi. Hivyo...

Tuesday, March 21, 2017

Eheee..Askofu Gwajima Kutimba Clouds Kesho,Atoa Ujumbe Huu Mzito Kwenye Instagram...!!

Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Bishop Josephat Gwajima amesema kuwa Jumatano hii atatembelea Clouds Media Group kwajili ya kuwapa pole kwa yaliyotokea hivi karibuni. Ijumaa iliyopita kituo hicho kilivamiwa na Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda akiwa na askari...

Yanga Fungu la Kukosa ,Yapangwa na Waarabu Kombe la Caf...!!!

Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limetoa ratiba ya mechi za kombe la shirikisho. Katika ratiba hiyo klabu ya soka ya Yanga imepangiwa kucheza na MC Alger kutoka Algeria. Yanga imeingia katika hatua hiyo baada ya kutolewa katika kombe la klabu bingwa barani Afrika...

Rais wa Zambia Apigiwa Magoti na Waziri Wake...!!!

Rais wa Zambia Edgar Lungu akinyenyekewa na waziri wake wa Mifugo na uvuvi, ...

Monday, March 20, 2017

Breaking Newss..Wabunge wa CCM Dalaly Kafumu na Vicky Kamata Wajiuzulu,Waandika Barua Zenye Ujumbe Mzito Kuhusu Serikali ya Magufuli...!!!

Mwenyekiti Kamati ya Kudumu ya Bunge, Viwanda na Biashara, Dkt. Dalaly Peter Kafumu, makamu mwenyekiti wa Kamati hiyo, Vicky Kamata wamejiuzulu nyadhifa zao hizo leo Machi 20, 2017. Wabunge hao wamesema wamefanya uamuzi huo ili waweze kupata muda wa kutosha kuwatumikia...

Kudadadeki..Makonda Azidi Kupigwa Kila Kona..Machangudoa Waungana Kuanzisha Mtandao Huu Hatari Ili Kumkabili...!!!!

BAADA ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuelezea mafanikio aliyoyapata, changamoto alizokutana nazo na mipango inayofuata ya mwaka wake wa pili aliouanza, wanawake wanaofanya biashara ya ‘uchuuzi wa mwili’ (machangudoa), wameibuka na mbinu mpya ya kumdhibiti...

Jenerali Ulimwengu Ashauri Makonda Ashitakiwe kwa Kuvamia Kituo cha Clouds...!!!

Akihijowa na DW mchana huu Jenerali Ulimwengu ameshauri Makonda ashitakiwe... Amesema ni tukio linaloweza kufanywa na viongozi ambao wanajiona hawana mipaka katika utawala wao.  Amesema mkuu wa mkoa amelewa madaraka na kwa kufanya tukio hilo ameonyesha kwamba hana...

Nape Nnauye : Hili Likinishinda Hakika Nitajiuzulu

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye amesema endapo atashindwa kusimamia uhuru wa habari na vyombo vya habari nchini atakuwa hafai kubaki kwenye nafasi hiyo kwa kuwa atakuwa ameshindwa majukumu yake katika nchi huruNape ametoa kauli hiyo...

Alichosema Rais Magufuli Kuhusu Paul Makonda Leo

Tofauti na kile ambacho watanzania wengi leo walikuwa wakitarajia kuona Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli akichukua uamuzi mgumu dhidi ya mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, mkuu huyo wa nchi amemuelezea Makonda kuchapa kazi.Makonda anakabiliwa...

Saturday, March 18, 2017

Yanga Mdebwedo Yatolewa Ligi ya Mabigwa..ila Kushiriki Mashindano Haya

YANGA SC imeangukia Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kutolewa katika michuano ya Ligi ya Mabingwa baada ya sare ya 0-0 na wenyeji, Zanaco jioni ya leo Uwanja wa Taifa wa Mashujaa, Lusaka nchini Zambia.Matokeo hayo yanamaanisha Yanga inatolewa kwa mabao ya ugenini,...
Powered by Blogger.