Showing posts with label MICHEZO NA BURUDANI. Show all posts
Showing posts with label MICHEZO NA BURUDANI. Show all posts

Saturday, March 18, 2017

Yanga Mdebwedo Yatolewa Ligi ya Mabigwa..ila Kushiriki Mashindano Haya




YANGA SC imeangukia Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kutolewa katika michuano ya Ligi ya Mabingwa baada ya sare ya 0-0 na wenyeji, Zanaco jioni ya leo Uwanja wa Taifa wa Mashujaa, Lusaka nchini Zambia.

Matokeo hayo yanamaanisha Yanga inatolewa kwa mabao ya ugenini, baada ya kulazimishwa sare ya 1-1 kwenye mchezo wa kwanza wiki iliyopita Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Yanga wataumia zaidi kwa kutolewa na Zanaco, kwani bao la kusawazisha la Wazambia hao Dar es Salaam lililopatikana dakika ya 78  kupitia kwa mshambuliaji wake Mghana, Attram Kwame lilikuwa la kuotea.

Na pamoja na hayo, wachezaji wa Yanga walikuwa wamezubaa kusubiri wapinzani wao watoe nje mpira kiungwana (Fair Play) baada ya mchezaji mwenzao, Obrey Chirwa kuangushwa.

Siku hiyo, Yanbga ilitangulia kwa bao la winga Simon Happygod Msuva dakika ya 39 baada ya kuwachambua mabeki wa Zanaco kufuatia pasi nzuri ya kiungo Mzambia, Justin Zulu.

Na ushindi huu unaifanya Zanaco iendeleze rekodi ya kuitupa nje Yanga kwenye michuano ya Afrika, baada ya mwaka 2006 pia kuwatoa katika hatua kama hii ya Ligi ya Mabingwa kwa jumla ya mabao 3-2, wakishinda 2-0 Lusaka baada ya kufungwa 2-1 Dar es Salaam.

Yanga sasa itamenyana na timu iliyofuzu hatua ya 32 Bora ya Kombe la Shirikisho kuwania tikeit ya kucheza hatua ya makundi ya michuano hiyo, wakati Zanaci inakwenda moja kwa moja hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa.

Arsenal Yahitaji Maombi ya Gwajima...Yachapwa 3-1



Craig Dawson akiwa hewani juu ya Nahodha wa Arsenal, Laurent Koscielny kuifungia West Bromwich Albion bao la kwanza dakika ya 12 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya timu ya kocha Mfaransa, Arsene Wenger katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa The Hawthorns. Dawson alifunga mabao mawili na la tatu dakika ya 75, huku la pili la West Bromwich likifungwa na Hal Robson-Kanu dakika ya 55 na la kufutia machozi la Washika Bunduki wa London, likifungwa na Alexis Sanchez dakika ya 15

Tuesday, February 21, 2017

Taarifa Kuhusu Mchezaji Emmanuel Adebayor Kuja Kucheza Yanga ya Tanzania Hii Hapa



Jana January 25 2017 moja kati ya taarifa zilizokuwa zimeenea katika mitandao ya kijamii ni kuhusiana na mshambuliaji wa kimataifa wa Togo aliyewahi kucheza Arsenal, Man City, Tottenham Hotspurs na Crystal Palace  Emmanuel Adebayor kuripotiwa kujiunga na  timu ya Yanga.

Habari kutoka soka25east.com na mitandao mingine mitatu ya Kenya zilisema kuwa staa huyo atajiunga na Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania bara Yanga ambayo pia inachezewa na Vincent Bossou anayechezea timu moja ya taifa na Adebayor na walikuwa pamoja AFCON juzi.

Saa 24 baada ya taarifa hizo kupita mitandao ya Skysports na BBC SPORTS imeripoti na kumnukuu Adebayor kuhusu mpango wake wa sasa katika soka akiwa mchezaji huru, anasema bado ana mpango wa kurejea ligi kuu England na hajaizungumzia Yanga hata tone, hiyo imedhihirisha kuwa tetesi za kujiunga na Yanga sio za kweli.

Nimepokea ofa chache kutoka timu za ligi kuu England na wote mnajua napenda kucheza England, licha ya kuwa mimi sio moja kati ya wachezaji wanaopendwa England nimecheza England kwa miaka kumi, ieleweke pia sikuja AFCON kucheza ili nipate timu nilikuja kuwakilisha taifa langu

Hizi Ndizo klabu Tajiri Zaidi Afrika,Simba ,Yanga na Azam Hazisomeki....!!!




KATIKA miaka ya hivi karibuni mchezo wa soka umekuwa chanzo kikubwa cha mapato kwa nchi zilizopiga hatua zikiwamo zile za barani Ulaya.

Kwa Afrika ambako nchi nyingi ni masikini, soka limekuwa kimbilio la vijana wengi ambao kwao ndicho chanzo kikubwa cha ajira.

Wachezaji, makocha, wauguzi na wafanyakazi wengine wa klabu wamekuwa wakifaidika na utajiri mkubwa unaozalishwa kupitia mchezo huo.

Lakini pia, Serikali kupitia mamlaka za mapato, imekuwa ikinufaika na fedha za kodi zitokanazo na mchezo wa soka.

Pia, klabu zimekuwa zikiingiza fedha nyingi kutokana na mapato ya uwanjani, mauzo ya wachezaji wakiwamo makinda wanaozalishwa katika ‘academy’ zao na hata dili za matangazo.

Kwa mujibu wa ripoti ya mwaka jana ya Jarida la Forbes la Marekani, zifuatazo ni klabu ambazo mpaka sasa zimeshavuna fedha nyingi kutokana na biashara ya soka.

Al Ahly (Misri)

Ndiyo timu tajiri zaidi barani Afrika kwa sasa ikiwa na thamani ya euro milioni 19,25. Klabu hiyo ndiyo inayoongoza kwa kuwa na mataji mengi barani Afrika (132).

Lakini pia, inaongoza kwa kutwaa mara nyingi lile Kombe la Klabu Bingwa Afrika ikiwa imefanya hivyo mara nane.

Miaka miwili iliyopita, thamani ya Al Ahly ilikuwa mara mbili ya ile ya Orlando Pirates ya Afrika Kusini.

Esperance (Tunisia)

Utajiri wao unafikia euro milioni 12,75 na wanamiliki mataji mawili ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

Timu hiyo iliyoanzishwa miaka 98 iliyopita, ina heshima kubwa Tunisia ambapo imeshinda makombe 26 ya ligi kuu nchini humo.

Club Africain (Tunisia)

Huenda si mara nyingi umekuwa ukiisikia kwenye mazungumzo ya kila siku, lakini ni moja ya klabu zenye heshima kubwa Tunisia na barani Afrika kwa ujumla.

Wakali hao wanamiliki mataji 13 ya Ligi Kuu Tunisia na utajiri wao unatajwa kuwa ni euro milioni 11, 80.

Mbali na soka, ‘vibopa’ hao wa jijini Tunis, wanamiliki timu za michezo mbalimbali ikiwamo ya mpira wa kikapu.

Uwanja wao wa nyumbani unaoitwa Stade Olympique de Rades, una uwezo wa kuchukua mashabiki 60,000.

Mamelodi Sundowns (Afrika Kusini)

Mamelodi ndiyo mabingwa watetezi wa mbio za kufukuzia taji la ya Mabingwa Afrika mwaka huu.

Walipochukua mwaka jana, ulikuwa ubingwa wao wa kwanza katika historia ya klabu na michuano hiyo.

Mwaka 2001 walikaribia kulitoa mkononi lakini walipochapwa mabao 4–1 na Al Ahly katika mchezo wa fainali. Mamelodi inaongoza kwa kuwa na makombe mengi katika historia ya soka la Afrika Kusini.

Forbes linaitambua klabu hiyo kuwa na utajiri wa euro milioni 10.35.

Kaizer Chiefs (Afrika Kusini)

Kama ilivyo Mamelodi, Chiefs nayo ni miongoni mwa klabu zinazoogelea kwenye dimbwi la utajiri kutokana na biashara ya soka.

Takwimu za kiuchumi za Forbes linaitaja timu hiyo kumiliki utajiri wa euro milioni 10, 48.

Ujenzi wa Uwanja wa Amakhosi unaoingiza mashabiki 55,000 unaomilikiwa na klabu hiyo uligharimu pauni milioni 105.

Mchezo ambao Chiefs huutolea macho zaidi ni ule unaowakutanisha na mahasimu wao wakubwa Orlando Pirates.

Zamalek SC (Misri)

Ilipoanzishwa mwaka 1911, ilifahamika kwa jina la Qasr El-Neel na haikuwa na utajiri iliyonao leo wa euro milioni 10,30.

Mbali na mataji mengine, imeshinda mara tano lile la Ligi ya Mabingwa Afrika.

Miongoni mwa mastaa wakubwa waliowahi kutamba na timu hiyo ni pamoja na Hassan Shehata, Hossam Hassan, Junior Agogo na Amr Zaki.

Klabu nyingine tajiri

USM Alger (euro milioni 9.65), E.S Setif (euro milioni 8.6), Raja Casablanca (euro milioni 8.13), na T.P. Mazembe (euro milion

Ulimi Kisimini-Siri Ya Mwanamke Kufika Kileleni



Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa tendo) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea.

Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 3 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo la ndoa.

Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/tendo la ndoa (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Mwanaume hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi anaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja.

Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine wasijue hata utamu huo ukoje (well ule wa kipele ni tofauti kabisa na ule wa kisimi) lakini sio mbaya kama utapata hata huo wa juu kwa juu ambao ni wa kisimini.

Sehemu pekee ambayo itakufanya wewe mwanamke ufike kileleni kwa haraka ni kwa kufanyiwa kazi kwenye kisimi chako. Kuna wanaume ambao ni “wajanja” na hawaoni tabu kutumia ndimi zao kuwaridhisha wapenzi wao, wengine hutumia vidole na wengi hutumia uume wao.

Ndugu zangu!

Lakini ngoja nikuambie, fanya yote lakini kama unaweza kutumia ulimi ni mwisho wa mambo ikiwa ulimi huo utachezea kisimi katka mitindo ya a-z, mzunguuko, #8, pembe 2 pembe. Sio wajilambia kama “ice cream”, anatakiwa kutumia ncha ya ulimi kulamba na midomo ya nje + ulimi kukinyonya kisimi.

Babu wa Miaka 98 Amuoa Bibi wa Miaka 88 Baada ya Kukaa Miaka 60 Wakichunguzana



weli nimeamini mapenzi hayana mwenyewe na huku waswahili husema ukistaajabu ya Mussa…… hapo waweza malizia mwenyewe. Hii tunaiona kwa Mzee Willy Kinyua (98) baada kufunga ndoa na Joyce Nyambura (88) baada ya wenza hao kuishi pamoja kwa zaidi ya miaka 60.

Hehehe, Wengine wetu wasipoona ndoa mapema hulalamika na kukata tamaa, Je ungekuwa Joyce ingekuwaje baada ya kuishi na bwana huyo miaka hiyo 60, hatuwezi kusema sana ila lahasha! yawezekana mzee Willy aliupanga huo muda ndio wakati sahihi wa kumuona Mwanamke huyo.

Wanandoa hao wamefunga ndoa katika Kanisa la Ubatizo lililopo Solai kwenye Kaunti ya Nakuru nchini Kenya huku wakiwa na watoto 5, huku sasa wakitembea kwa fimbo.

Aidha Kinyua alisema kuwa alikuwa miongoni mwa waliopigana vita ya MauMau na kwamba, ingawa alikuwa porini kwa miaka tisa, Nyambura hakumsaliti. “Nampenda Nyambura, ni mwanamke mrembo ambaye kila mara amekuwa chanzo cha nguvu zangu na kunitia moyo. Hajawahi kunisaliti.” Kwa upande wake Nyambura amesema, amefurahi kusheherekea ndoa yake kama ambavyo kila mwanamke angependa iwe hivyo, huku akidai kuwa alimpenda sana Kinyua na kwamba walikuwa wakiishi kwa imani
.
Je wewe unaweza haya??? Toa maoni yako hapa

Tuesday, February 14, 2017

Ufupi kwa Wanaume ni Janga Jingne Katika Mahusiano



Mda si mrefu nimetoka kusikia hii habari ambayo inatia simanzi kwa wanaume wafupi.Yaani mtoto wa kike amefunguka laivu mbele ya boi wake kuwa anapenda mwanamume mrefu, mwanamume ambaye inakuwa hata raha kusimama nae, kuongozana nae.

Nukuu" binti: " mh yaan mimi napenda mwanamume mrefu, kiasi kwamba hata siku ya ndoa yangu nikivaa high hills inakuwa vizuri, hata kuongozana, sio mwnamume mfupi kama wewe, yaani wiwi ni mfupi mpaka basi".

Ufupi ni source of inferiority complex to short man en source ya kuumizwa.Pia inaaminika ya kuwa et hawa wanaume wafupi wanamapnzi ya dhati ila sasa wanaowataka ndo hvyo tena.

By Papaa Azonto

Monday, February 6, 2017

UTAFITI: Wanawake Weupe Wanaringa Kuliko Weusi


Kutokana na utafiti niliofanya mimi mwenyewe sasa ni dhahiri wanawake weupe wanaringa sana kuliko wale weusi...

Utafiti huu ulijumuisha kuwatokea moja kwa moja, asilimia kubwa kati yao hata ilipotokea kuwaita wengi walionesha dharau sana kuliko wale weusi. 

Sasa kama na wewe ulishawai kutokewa na hali hii unga tela ili nione kama utafiti wangu uko sahihi kias gani

Hivi ni Kwanini Wanawake Wengi Hujivunia Sana Makalio Yao




Angalia hata picha wanazopiga wanawake utaona jinsi wanavyojibinua ili wanaonekane wana makalio makubwa.

Hata wakati wa kutembea pia wengine hutembea tofauti ili kuhakikisha kuwa makalio yake yanatikisika na ndio maana hata wengine hudiriki hata kutumia dawa za mchina ili kukuza makalio yao na hata baadhi yao wakati mwingine hujigamba kuwa eti wanamshukuru Mungu kwa kuwapa hips kubwa na wakati mwingine husikika wakisema eti mwanamke inye. 

Hivi nyie wanawake hususani wasichana ni kwanini mnapenda sana kujivunia na kuringia makalio yenu? Ina maana katika miili yenu kitu mnachokiona ni cha thamani ni makalio pekee? Badilikeni bwana maana kujivunia makalio badala ya akili ni ujinga wa kiwango cha lami

Wednesday, January 18, 2017

Sio kila EX wako anaeomba mrudiane anakuwa kakumbuka utamu wengine hutest tu


Sio Kila EX Wako Anayeomba Mrudiane Anamaanisha! Wengine Huomba Kurudi Ili Wakutesti Tu Jinsi Ulivyo Mbulula,Jinsi Usivyo Na Msimamo Na Jinsi Ulivyo CHEAP Na Huna Misimamo Wala Future.
.
Jitu Mmeachana Miezi 6,Leo Linakutesti Lirudishe Majeshi,Na Wewe Ulivyo Kiazi,Upo-Upo Tu,Ina Maana Miezi Yote Hii Ulikuwa Umeganda Unasubiria Rehema Zake Ama?? Kurudia Matapishi Ya EX Ukitegemea Amebadilika Ni Sawa Na Kupika Sufuria La Makande Kwa Mshumaa,Utaambulia Masizi Tu..
.
Kipi Kipya Kakiona Kwako Hadi Arudi??Nini Kilimshinda Huko Nyuma Ambacho Leo Anakiweza Anataka Kurudi??Akafie Mbele Huko. 
.
KUWA NA MSIMAMO,Ukisema Its Over Umaanishe,Sio Unakuwa Na Hisia Zinapepea Tu Kama Bendera Ya Katibu Kata Wa Kishumundu... Mtu Kama Hajielewi Achana Nae,Siku Akijirudisha Mwambie Kwanza Akapimwe Minyoo Ya Kinyarwanda. 
.
Umekazana Kuwaambia Marafiki Zako 'Siku Hizi Hakuna Mapenzi Ya Dhati Watu Wote Majanga Tu',Nani Amekwambia Hayapo?? Yapo Sana Ila Wewe Unatumia Mbinu Tofauti..
.
Huwezi Kusoma Degree Ya Law Halafu U-Apply Kazi Ya Chief Accountant Wa Bodi Ya Tumbaku...Kila Siku Utasingizia Balance Sheet Haina Jurisprudence..Lawyersl

Mmenielewa! Acha Kudate Watu Wasiojielewa,Usidate Kwa Sababu Uko Lonely,Usiwe Desperate Kuingia Mahusiano Kwa Sababu Shosti Zako Wanakusimulia Walivyopelekwa Ruwenzori Waterfalls.. 
.
Ingia Kwenye Mahusiano Pale Moyo Wako Ukiwa Tayari Na Mtu Uliyemfia Kihisia Na Amekuwa Approved Na Veins,Auricles,Na Aorta Za Moyo Wako Kwamba He/She Is Really The One.. Unadate Na Mtu Ambaye Mustakabali Wake Mwenyewe Haujui,Ukimuuliza Anataka Kuwa Wapi Ndani Ya Miaka 5 Ijayo Anakwambia Mungu Anajua Dont Worry,Halafu BBM Na Instagram Unajiita Baby Ake Mie Iam In Love..

Utaishia Kufua Boxer Hadi Kucha Zinukie Gololi! Mbwa Kamwe Hashughuliki Na Kesi Za Paka Kufungiwa Kabatini.Date The Right Person,With Right Reasons,In A Right Time Uone Kama Mapenzi Hayapo...
.
Nikipanic tena nitarudi

Wednesday, December 28, 2016

MPENZI Wangu Analilia Nimnunulie Gari Kukwepa Miluzi Barabarani



Asikuambie mtu presha ya mwanaume yoyote ipo pale anapojua kuna mbaya wake anataka kufaidi ile raha anayoipata yeye naumia kila niwapo faragha na mpenzi wangu nikiwaza vitu hadimu anavyonipa bila hiyana bila uchoyo na mchezo anavyouweza hadi nachanganyikiwa mtoto kweli mashalaaaa akitembea utadhani kadondoka hajazaliwa.

Mtoto kaja juu kuwa akitembea mitaani watu wanapiga kelele na miluzi sana kwa wingi kitu kinachomkera sasa kaja juu kua nimnunulie gari maana kazichoka hizi kelele nashindwa nifanyeje kwa kweli, naumia sana na nikiwaza tuu nahisi kuchanganyikiwa mimi.

Nifanyeje niudhibiti huu mzigo?

Saturday, December 24, 2016

TATU Bora Mchezaji Bora Afrika Zatoka



Mshambuliaji raia wa Gabon, Pierre-Emerick Aubameyang, mshambuliaji na winga wa Algeria Riyad Mahrez na winga wa Senegal  Sadio Mané wameingia kwenye orodha ya wachezaji wattau bora wa tuzo ya mchezaji bora wa Afrika.

Wachezaji hao watatu wamefika hatua hiyo baada ya kupigiwa kura na makocha na wakurugenzi wa ufundi wa vyama vya soka vilivyokuwa chini ya  CAF, kamati za vyombo vya habari, kamati za soka na ufundi na wataalamu wa habari. Mohamed Salah na Slimani hawajafanikiwa kuingia katika hatua hii.

Kwa mchezaji bora wa Afrika kwa ligi za ndani, golikipa wa Uganda Dennis Onyango na Mzimbabwe Khama Billiat na mchezaji wa Zambia kiungo Rainford Kalaba wameingia.

TWashindi watatangazwa kwenye tuz hizo maarufu kama Glo-CAF Awards Gala siku ya Alhamis, 5 January 2017 jijini Abuja, Nigeria.

 

Mchezaji bora wa Afrika

Pierre-Emerick Aubameyang (Gabon & Borussia Dortmund)

Riyad Mahrez (Algeria & Leicester City)

DIAMOND na Timu yake Kuchoma Gari Moto Jukwaani Kesho Wasafi Beach Party



Kama Kichwa cha habari kinavyojieleza Meneja wa Diamond Sallam Sk Mendez Akihojiwa na XXL leo Live pale mlimani City amesema wanapanga kupandisha gari Jukwaani na kulipiga kiberiti live watu wakishuhudia siku ya kesho Kwenye Party ya Wasafi ...

Amedai stunt kama hizo zinasaidia kufanya mziki wetu uendelee kuwa gumzo Afrika na kukua zaidi.....

Wednesday, December 7, 2016

YOUNG Dee Aeleza Sababu ya Kufanya Video na Mpenzi wake Tunda


Rapa Young Dee ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake mpya 'Furaha' amefunguka na kuweka wazi sababu kubwa iliyompelekea yeye kufanya kazi na mwanamitindo Tunda

Young Dee akiwa kwenye kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio alisema kuwa aliamua kufanya video hiyo na Tunda kwa sababu kwanza ni mtu ambaye yupo naye karibu hivyo kwake haikuwa kazi ngumu kumuitaji lakini pia adai alikutana na wanamitindo wengine ambao kwake walikuwa wakubwa sana akamua ngoja afanye na mtu wake wa karibu.

"Kwanza unajua sijafanya muda mrefu video ya mapenzi, hivyo nilifikiria nikaona Tunda ni mtu sahihi kwanza ni mtu wangu wa karibu hivyo nikaona akisimama yeye kwenye video hii ataleta maana zaidi kwa kile nilichokuwa nimelenga kukifikisha kwa jamii, maana nilikutana na wanamitindo wengine kwangu walikuwa wakubwa sana. Lakini pia nikiwa na Tunda muda wote kwangu ni furaha tu" alisema Young Dee.

Mbali na hilo anadai kuwa kipindi ambacho aliachia wimbo wake wa 'Hands up' ni kama alikuwa amewahi sana kwani alikuwa anajiona anahitaji kupumzika kwanza, kujijenga upya ili kuingia kwenye ushindani kweli na kufanya kazi rasmi.

"Kipindi kile kiukweli niliwahi sana maana tulikuwa na mizuka sana lakini kuna siku nilipost picha Instagram mimi mwenyewe nilijiona nimekonda kweli, nikaona nahitaji kupumzika, kulala vizuri na kufanya mazoezi ili nikirudi nirudi kweli ndiyo kama sasa nipo fiti kwa ushindani ndiyo maana nimekuja na hii kazi ya 'Furaha'" alisema Young Dee

HASARA 5 za Ushauri wa Rafiki Kimapenzi



Watu wengi wamekuwa wepesi sana kukimbilia kwa rafiki zao ili kuomba msaada wa mawazo ya nini wafanye kwenye mapenzi. Imani iliyojengeka kwa watu wengi katika jamii yetu ni kuwa ushauri ni kitu muhimu sana kwa kila hatua.

Kwa mtazamo wa haraka haraka unaweza kuishia kwenye ukomo huo wa fikra na kuamini juu ya ushauri wa mtu kukufikisha mahali sahihi kwenye mapenzi. Unapokerwa na mpenzi unakimbilia kushauriwa na wakati mwingine hata unapotaka kuoa au kuachana na umpendaye, unamuomba rafiki yako ushauri.
Je, umeshawhi kufikiria hasara za kuomba ushauri wa kimapenzi kwa rafiki yako? Hebu ungana nami wiki hii ili nikumegee kidogo hasara za ushauri.

UTAKUPOTOSHA

Ni wazi kwamba kipimo cha uelewa kinatofautiana kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine. Ifahamike kuwa, uhodari wa mambo nao hutofautiana, mtu anaweza kuwa mahiri katika siasa na akaaminika kwenye jamii, lakini ukimpelekea suala la mapenzi anakuwa hajui kitu, hivyo ni rahisi kukupotosha.

Uchunguzi unaonyesha kuwa, wapenzi wengi sana hupotoshwa na rafiki zao wasiokuwa na uelewa wa kutosha juu ya tatizo au suala husika la kimapenzi. Ni vema kuwa makini unaposhauriwa.


UTARAHISISHA MAMBO

Mara nyingi washauri huwa si wao wanaokabiliana na mambo, hivyo ni rahisi kwao kupima vitu kwa juu juu tu na kushauri kirahisi rahisi. “Vipi kakupiga namna hii, aaa huyu si mwanaume kwa kweli ni bora ukaachana naye.” Anasema ni bora kuachana naye kwa sababu haumizwi na kuachana, unayeachana ni wewe anayekushauri.

“Mkubali tu bwana unalaza damu, hiyo tabia yake ya uhuni atabadilika, shosti unataka kuacha bahati ipite?” Kwa mshauri ni rahisi kusema hivyo lakini kumbuka ukubwa wa tatizo hatimaye utakabiliana nao wewe. Hii ina maana kwamba, unapofikiria kuhusu ushauri ufikirie pia kuhusu kushauriwa jambo kirahisi, ukiuvaa mkenge mwenye kuumia utakuwa ni wewe.

UTAKUGEUZA

Ulimwenguni kuna aina zaidi ya 1000 za mapenzi na kila mmoja anatajwa kupenda kwa staili zake. Mapenzi ni kama chembe hai nyekundu zilizopo kwenye damu ya mwanadamu ambazo zinaelezwa na wataalamu kuwa hazifanani hata kidogo. Uzoefu unaonyesha kuwa, washauri wengi hushauri kwa uzoefu wao, lakini je ni sahihi uzoefu huo uwe msaada kwa mtu mwingine?

Jibu ni hapana, kinachotokea mara nyingi kwenye ushauri ni mtu kumfanya mwenzake awe kama yeye alivyo, yaani apuuze aamue na apende kama staili yake, jambo ambalo haliwezekani kabisa kwenye mapenzi. Vipi Juma ageuke ghafla awe kama Hassan kwenye suala la mapenzi? Ushauri ni muhimu lakini upime kama unalingana na matakwa yako.

UTAKUONDOLEA UJASIRI

“Kwa maelezo hayo mumeo ni malaya sana, naona itakuwa vigumu kumbadilisha, ni bora ukaanza maisha yako kwa sababu kuna siku hali itakuwa mbaya.”
Huu ni ushauri ambao unaweza kumuondolea mtu ujasiri wa kukabiliana na tabia ya mumewe hadi kufikia hatua ya kumsaidia akaachana na tabia zake mbaya.

Ushauri huondoa ujasiri wa kukabili tatizo hasa pale anayekushauri atakapolipeleka suala lako kwenye njia ngumu isiyokuwa na ufumbuzi. Ikumbukwe kuwa anayeamini kushindwa ni mshauri lakini wewe kama mwanamke unaweza kusimama kutetea penzi lako na kuliweka sawa mpaka jamii ikasema: “Jamani huyu dada kamrekebisha kweli mumewe, hakuwa hivi alikuwa mlevi lakini sasa kaacha pombe.

UTAKUNYIMA FURSA

Kwenye mapenzi kuna fursa nyingi za mafanikio ambazo unaweza usizipate ukiwa mtu wa kusikiliza sana ushauri wa watu. Kuna wakati ambao unatakiwa usimame wewe kuamua kumpenda mtu ambaye jamii inaona kama utapotea

Tuesday, December 6, 2016

NAMPENDA Mume Wangu Lakini Haniridhishi Tukiwa Faragha



Nampenda sana mume wangu lakini nimeboreka nae! in the bedroom ndio hata usiseme! yaani hata nikikaa mwezi hatujakutana siku ikitokea mechi najua kabisa anaanzia wapi atafanya nini, hayuko creative kabisa.

Najaribu kufanya changes try new positions ila yeye wala. Inaniboa! yaani I can only dream mechi za stori za sinema za x hahaha! ana mashine nzuri lakini utaalam ziro. mpaka nimenunua kitabu flani cha positions hakya nani.

Hayo yote sijawahi kucheat...ivi kuna unyago for men? nakiri kwa kweli niko shy kidogo kumpa somo, jinsi ya kuhandle mwanamke. nifanyeje?

Monday, December 5, 2016

Jihan Ndio Ametangazwa Miss Universe Tanzania 2016 Usiku wa Jana



Shindano la kumtafuta Miss Universe Tanzania kwa mwaka 2016 limefanyika usiku wa November 25 Dar es salaam ambapo Jihan Dimack ametangazwa mshindi.

Jihan ni mrembo aliyeshinda taji la Miss Ilala mwaka 2014 na kuingia tatu bora Miss Tanzania mwaka huohuo, Wazazi wake ni mchanganyiko wa Tanzania/Lebanon.


Nafasi ya pili ya shindano la Miss Universe 2016 ilichukuliwa na Lilian Loth kutoka Kampala University na nafasi ya tatu ilichukuliwa na Lilian Felix ambaye alikuwa aniwakilisha UDSM.

Mimba Hii Ingekuwa ya Baraka The Prince Inge.........


Nyota wa filamu nchini ambaye siku za karibuni amekuwa akihaha na ujauzito alionaonao bila kumuweka wazi muhusika, amekanusha kuwa ujauzito huo ni wa msanii Baraka The Prince.

Nisha Baby amefunguka kuhusiana na hilo akiwa katika kipindi cha FNL cha EATV, na kusema kuwa endapo ujauzito huo ungekuwa wa Baraka kama inavyosemwa na wengi basi ungetoka wenyewe mapema sana kwa kuwa Baraka ni miongoni mwa wanaume asiowapenda kabisa duniani.

"Kama hii mimba ingekuwa ya Baraka, ingetoka yenyewe, wala isingesubiri" Alisema Nisha.
Kuhusu muhusika wa ujauzito huo, Nisha ameendelea kufanya siri na kuapa kutomtaja kabisa hata siku moja licha ya watu kutaja baadhi ya majina ya watu maarufu ambao amekanusha kuwa siyo wahusika.

Katika hatua nyingine Nisha aliweka wazi kuwa anatarajia kujifungua mtoto wa kiume, licha ya kuwa bado hajamtafutia jina.

Kuhusu mazingira aliyopata ujauzito huo, Nisha ambaye alijikuta akimwaka chozi studio, alisema mwanaume aliyempa ujauzito alimlazimisha kufanya naye mapenzi, na kwamba ahaikuwa ridhaa yake na ndipo ikatokea hivyo.

Kuhusu hoja za baadhi ya mashabiki kuwa ni kwanini hakuitoa kama hakuwa tayari, Nisha alisema imani yake ya dini haimruhusu kutoa mimba.
"Ingawa kuzidi ni dhambi, lakini kutoa mimba pia ni dhambi na dini zote haziruhusu kutoa mimba"

BONGO Movie Yazidi Kufa, JB Nae Aacha Kuigiza



Msanii wa siku nyingi wa bongo movie JB amestaafu kuigiza bongo movie, hii imesikitisha sana wadau wa sanaa, kuanzia mashabiki hadi wasanii wenzake..

Friday, December 2, 2016

MAMBO Yanayoshusha Thamani ya Mwanaume Mbele ya Mwanamke



Katika uhusiano baina ya mume na mke hutokea mambo mbalimbali yanayoimarisha uhusiano baina yao au kuuharibu. Baadhi ya nyakati mwanaume hufanya baadhi ya mambo yanayomshusha thamani mbele ya mwanamke. Hivyo, wanaume wote wenye khofu ya heshima na thamani yao kuanguka, ninawaletea mambo muhimu ambayo yanashusha thamani ya mwanaume mbele ye mwanamke:

1. HADAA NA UNYONYAJI:
Baadhi ya wanaume ni wazuri sana katika kumnyonya mwanamke kwa kutumia kisingizio cha mapenzi. Wanazitumia mali zake na kuzinyonya kwa kutumia njia mbalimbali ikiwa ni pamoja na maneno matamu ya mapenzi au kutengeneza simulizi za uongo kuhusu matatizo ya kipesa na kiuchumi. Mwanamke akigundua kuwa analaghaiwa, basi atamshusha thamani haraka mwanaume huyo na kuamua kujitenga naye. Na iwapo ataendelea kuwa naye, basi hasara na majuto yatakuwa juu ya mwanamke huyo.

2. WANAWAKE WENGI:
Mwanamke anapenda ahisi kuwa yeye ndiye mtu pekee katika maisha ya mwanaume. Kuwa na uhusiano na wanawake wengi wasiokuwa na ukomo, husababisha katika kushusha heshima yake mbele ya mkewe. Tambua kuwa hiyo sio sifa nzuri ya kujivunia.

3. UONGO:
Urongo ni miongoni mwa mambo ambayo mwanamke huchukia sana kuyaona kwa mwanaume. Kuna wanaume hodari katika kutunga na kusema uongo. Lakini mwanamke akigundua kuwa unamuongopea, basi heshima na thamani yako itakuwa imeshuka kabisa machoni mwake hata kama ataamua kuendelea kuishi nawe.

4. UKOSEFU WA HESHIMA:
Utovu wa heshima ni miongoni mwa mambo yanayoharibu uhusiano maridhawa baina ya wanandoa hata kama kutakuwa na mambo yanayowaunganisha. Hivyo, ewe mwanaume mwenzangu, usiishushe haiba ya mkeo kwa lugha chafu au kumdhalilisha. Usishushe thamani ya vitu anavyovifanya kwa ajili yake hata kama vitakuwa vidogo. Daima jitahidi kuwaheshimu ndugu zake kwa sababu ukifanya kinyume na hivyo, thamani yako mbele yake itashuka, hata kama hatakwambia.

5. KUTOMUAMINI:
Kuaminiana ni miongoni mwa mambo mazuri ambayo yakipatikana katika mapenzi ya wawili, huwasaidia kukabiliana na vikwazo na changamoto mbalimbali. Ikiwa mume ni mtu anayetilia shaka maneno na matendo ya mke kila siku, thamani yake machoni mwa mkewe itashuka. Kuaminiana kuna mafungamano makubwa sana na upendo na kujiamini. Iwapo kutakuwa na ulegevu katika jambo hilo, mahabba yao hayatakuwa maridhawa
Powered by Blogger.