Monday, December 5, 2016

Jihan Ndio Ametangazwa Miss Universe Tanzania 2016 Usiku wa Jana



Shindano la kumtafuta Miss Universe Tanzania kwa mwaka 2016 limefanyika usiku wa November 25 Dar es salaam ambapo Jihan Dimack ametangazwa mshindi.

Jihan ni mrembo aliyeshinda taji la Miss Ilala mwaka 2014 na kuingia tatu bora Miss Tanzania mwaka huohuo, Wazazi wake ni mchanganyiko wa Tanzania/Lebanon.


Nafasi ya pili ya shindano la Miss Universe 2016 ilichukuliwa na Lilian Loth kutoka Kampala University na nafasi ya tatu ilichukuliwa na Lilian Felix ambaye alikuwa aniwakilisha UDSM.

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.