Friday, February 10, 2017

Messi Afanya Kufuru.. Anunua Nyumba ya Jirani Yake Baada ya Kukerwa na Kelele



Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi (29) amenunua nyumba ya jirani yake katika eneo la Castelldefels, mjini Barcelona anapoishi kwa sababu walikuwa wakimsumbua kwa kelele.

Taarifa hizo zimeelezwa na mchezaji mwenzake wa Barca, Ivan Rakitic aliyesema kuwa Messi amekuwa akikerwa na kelele za jirani yake huyo hivyo kuamua kuinunua nyumba hiyo ili jirani aondoke na kuamuachia yeye na familia yake.

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.