Monday, November 30, 2015

MASTAA WA 3 WAJULIKANA BAADA YA MCHUJO MKALI KATI YA MASTAA 23!!!


Mastaa watatu wa soka duniani Cristiano Ronaldo, Lionel Messi na Neymar wamerudi kwenye headlines baada ya kuchaguliwa kushindania tuzo ya kimataifa ya mwaka ya Ballon d’Or.
Huu unakuwa mwaka wa nane kwa staa wa klabu ya Real Madrid Cristiano Ronaldo na Lionel Mess kushiriki katika tuzo hizo kubwa duniani.
Mshindi wa tuzo hizo anatarajiwa kutangazwa rasmo katika jiji la Zurich, Uswis January 11 2016.
Mastaa hao watatu wamefanikiwa kutangazwa  baada ya kushindanishwa kati ya wachezaji 23 waliokuwa wakiwania akiwemo Gareth Bale
Pia makocha watatu watakaowania tuzo hiyo na timu zao kwenye mabano ni Pep Guardiola (Spain/FC Bayern Munich), Luis Enrique Martínez (Spain/FC Barcelona), Jorge Sampaoli wa (Argentina/Chilean national team)

Hawa ndio mastaa waliokuwa wakiwania tuzo hiyo
1. Sergio Aguero (Argentina/Manchester City)
2.Gareth Bale (Wales/Real Madrid)
3.Karim Benzema (France/Real Madrid)
4.Cristiano Ronaldo (Portugal/Real Madrid)
5. Kevin De Bruyne (Belgium/VfL Wolfsburg/Manchester City)
6.Eden Hazard (Belgium/Chelsea)
7. Zlatan Ibrahimovic (Sweden/Paris Saint-Germain)
8. Andres Iniesta (Spain/FC Barcelona)
9. Toni Kroos (Germany/Real Madrid)
10.Robert Lewandowski (Poland/FC Bayern Munich)
11.Javier Mascherano (Argentina/FC Barcelona)
12.Lionel Messi (Argentina/FC Barcelona)
13. Thomas Muller (Germany/FC Bayern Munich)
14. Manuel Neuer (Germany/FC Bayern Munich)
15. Neymar (Brazil/FC Barcelona)
16. Paul Pogba (France/Juventus)
17. Ivan Rakitic (Croatia/FC Barcelona)
18.Arjen Robben (Netherlands/FC Bayern Munich)
19. James Rodriguez (Colombia/Real Madrid)
20. Alexis Sanchez (Chile/Arsenal)
21. Luis Suarez (Uruguay/FC Barcelona)
22. Yaya Toure (Cote d’Ivoire/Manchester City)
23. Arturo Vidal (Chile/Juventus/FC Bayern Munich)

You must be logged in to post a comment Login




0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.