Monday, November 21, 2016

Mwana FA Aleta Msiba Mkubwa Kwa Kina Dada wa Mjini Kwa Huu Wimbo Wake Mpya...Dume Suruali ft. Vanessa Mdee


Leo Mwana Fa ameachia ngoma yake ambayo ni mwiba mchungu kwa kina dada wa mjini wanaopenda na kuishi kwa kuombaomba. Ngoma inaitwa Dume Suruali.

Nihonge nanunua nini? Kwa nini yani? Kwa kipi nsichokijua ina TV ndani?

Asante FA kwa hii fimbo ya kufungia mwaka haswa kipindi hiki cha Magufuli #TeamDumeSuruali

Dume Suruali ft. Vanessa Mdee - Mwana FA

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.