Ndugu zangu wanajamvi...kwanza naomba niulize, mtoto wa MJOMBA angu ni ndugu kivile?..Tumekuwa tukiishi na huyo mtoto wa mjomba angu kwa kipindi kirefu...mwanzoni ilikuwa kawaida tu maana alikuwa bado mdogo, ila sasahivi chuchu konzi...msambwana umenawili..kwahiyo ameanza kubadilika, muda mwingine anaweza kuwasha mziki nikipita anajisogeza tucheze huku nimbambie ila nakataa,,muda mwingine anakuja kunikaribisha chakula anaingia bila hata kupiga hodi nakuta hata nimetoka kuoga halafu dushe limeninginia yeye anaingia tu..muda mwingine anavaa kanga moko tu au akitoka kuoga anakuja chumbani kwangu hukukhanga imeloa anadai mafuta yake yameisha eti nimpe yangu ila akigeuka anatingisha...Sasa najiuliza nimle? au ntakosea?..maana namimi ni binadamu stimu huwa zinapanda muda mwingine..Naombeni ushauri jamani..
0 comments:
Post a Comment