Monday, November 14, 2016

FAIZA Ally 'Napenda Kuvaa Nusu Utupu, Najipenda Nilivyo Bomba


Mrembo Faiza Ally Ameamua Kufunguka haya Hapa Chini:

"Napenda kuvaa half naked - Na najipenda kujiangalia nilivyo bomba Na kuangalia watu wanavyo niponda.... najue wengi mnatamani lkn Ndio hivyo tumeumbwa tofaut....
Msinifananishe na mtu mwenye mzigo nyuma#hakunaga star mnene duniani hlf pia msinifananishe na wenye vijuso Kama katuni - mi niko Na class beauty 😉 I AM DIFFERENT" Faiza Ally


0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.