Home »
KITAIFA
» Breking Newz MELI YA ROYAL YAPATA AJALI YA MOTO
Meli ya Royal iliyokuwa ikitokea Unguja kuelekea Pemba inaungua moto baharini muda huu.
Kwa bahati meli ya Serengeti iliyokuwa inatokea pemba kwenda unguja imeikuta njiani meli hiyo na inatoa msaada wa uokoaji wa abiria na mali.
0 comments:
Post a Comment