Rais wa Tanzania wa awamu ya Tano Dkt.John Pombe Magufuli katika kasi yake ya kutumbua majipu hatimaye,amevunja bodi yote ya Bandari na kutengua uteuzi wa Mkurugenzi mkuu wa bandari Bw.Awadhi Massawe (Pichani) na ameagiza wote wawekwe chini ya ulinzi .
Rais pia amemsimamisha kazi katibu mkuu wizara ya uchukuzi Bw.Shabani Mwinjaka.
0 comments:
Post a Comment