Home »
KITAIFA
» Rais Magufuli Akutana na Dangote Ikulu, Amhakikishia Mazingira Bora ya Uwekezaji
Rais Magufuli amemhakikisha mfanyabiashara wa Nigeria, Aliko Dangote kuwa itamwekea mazingira mazuri ya uwekezaji ili kuhakikisha kiwanda chake cha saruji kinaendelea kufanya kazi kwa ufanisi.Rais amesema kuna ‘wapiga deal’ walikuwa wameingilia mradi wake huku Dangote akisema mwezi huu analeta malori 600 kwaajili ya shughuli zake na kubebea saruji na kwamba atanunua kila rasilimali kwaajili ya kiwanda hicho hapa hapa Tanzania. Pia amedai kuwa atatengeneza ajira zingine mpya zaidi ya 1,500.
0 comments:
Post a Comment