Thursday, December 15, 2016

BINTI Mtanzania Aliyelipwa BILIONI 1 Ufaransa Kwa Kazi ya Siku 1



Herieth Paul ni Binti Mtanzania mwenye umri wa miaka 20 tu lakini jina lake limekua kubwa kila kukicha nchini Marekani akiwa ni Mwanamitindo mwenye umri mdogo lakini amepiga hatua kubwa kwenye kazi ya Uwanamitindo

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.