Saturday, December 10, 2016

RAIS Magufuli Ataja Mambo Yanayoikwamisha Tanzania RAIS Magufuli Ataja Mambo Yanayoikwamisha Tanzania Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameitaja rushwa kama changamoto sugu ambayo bado inaendelea kulitafuna taifa la Tanzania katika miaka yake 55 ya Uhuru. Rais Magufuli ameitaja changamoto hiyo leo akati akiwaongoza watanzania katika maadhimisho ya miaka 55 ya uhuru wa Tanzania Bara ikiwa ni mara ya kwanza tangu aingie madarakani na kutaja changamoto nyingine kuwa ni tatizo la ajira pamoja na umasikini. Akizungumza katika hotuba yake ya shukrani katika maadhimisho hayo ambayo yamefanyika katika uwanja wa uhuru jijini Dar es Salaam, Dkt. Magufuli, amesema kuwa serikali yake itaendelea kupambana na vitendo na rushwa na ufisadi, kwa ajili ya kuliletea taifa maendeleo. Aidha Rais Dkt. Magufuli amesema kuwa serikali itahikisha kuwa inaondoa uonevu hasa kwa wananchi wanyonge ikiwa ni pamoja na kutatua changamoto zinazowakabili ili kila mtanzania aweze kufaidika na matunda ya nchi yake. Maadhimisho hayo ambayo kwa mujibu wa Rais Magufuli ndio ya mwisho kufanyika Jijini Dar es Salaam na kuanzia mwakani yataadhimishwa Dodoma, yamehudhuriwa na viongozi mbalimbali wastaafu na serikali pamoja na mabalozi wa nchi mbalimbali zenye uwakilishi hapa nchini. Download Android Application ya Udaku Special = Hapa 09 Dec 2016 Labels: John Magufuli, Siasa WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI RELATED POSTS UZUSHI Wamkera Rais Magufuli UZUSHI Wamkera Rais Magufuli 05 Dec 2016 TAARIFA Toka Ikulu Kuhusu Uzushi Dhidi ya Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) TAARIFA Toka Ikulu Kuhusu Uzushi Dhidi ya Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) 04 Dec 2016 MWAKA Mmoja wa Rais Magufuli Madarakani Umetosha Kumzika Lowassa Kisiasa MWAKA Mmoja wa Rais Magufuli Madarakani Umetosha Kumzika Lowassa Kisiasa 30 Nov 2016 Audio: Rais Magufuli Aongea na Makonda Live Akiwa Kwenye Mkutano wa Wananchi Audio: Rais Magufuli Aongea na Makonda Live Akiwa Kwenye Mkutano wa Wananchi 25 Nov 2016 Rais Magufuli: Niliivunja Bodi ya TRA Baada ya Kuidhinisha Mabilioni ya Pesa Kwenda Benki Binafsi Kama Fixed Deposit Rais Magufuli: Niliivunja Bodi ya TRA Baada ya Kuidhinisha Mabilioni ya Pesa Kwenda Benki Binafsi Kama Fixed Deposit 25 Nov 2016 MSAIDIZI wa Mbowe, Ben Saanane Adaiwa Kupotea Tangu Nov 18, Hata Simu Zake Hazipatikani MSAIDIZI wa Mbowe, Ben Saanane Adaiwa Kupotea Tangu Nov 18, Hata Simu Zake Hazipatikani 10 Dec 2016 VIDEO: Rais Magufuli Akutana na Dangote Ikulu, Amhakikishia Mazingira Bora ya Uwekezaji VIDEO: Rais Magufuli Akutana na Dangote Ikulu, Amhakikishia Mazingira Bora ya Uwekezaji 10 Dec 2016 WANASIASA wa Upinzani Burundi Wamkataa Mkapa WANASIASA wa Upinzani Burundi Wamkataa Mkapa 10 Dec 2016 123 Previous Next POST A COMMENT Emoticon TOTAL PAGEVIEWS Sparkline 155,858,769 TRENDING NEWS ALICHOANDIKA Zari Baada ya Kurudi Nyumbani Akiwa na Mtoto wa Kiume Hatimaye Zari na Diamond wamefanikiwa kupata mtoto wa kiume aliyezaliwa saa 10:35 alfajiri kwa saa za Afrika Mashariki, Jumanne, Decembe... WASANII Watano Matajiri Kupita Wote Afrika Watajwa..Mtanzania Mmoja Yupo Kwenye List Mara nyingi tumezoea kuona list za wasanii wakubwa wakitajwa kuingiza pesa nyingi zaidi Afrika, wiki hii imetoka list iliyoandikwa na eDai... OTHER NEWS BONGO YETU Zari Hassan cancels all white party - Fans who had hopes of jump starting the holidays in style will have to hold their horses until next year. This comes after Zari Hassan cancelled the much... 11 hours ago Siasa Huru | SIASA HURU VIDEO: Rais Magufuli Akutana na Dangote Ikulu, Amhakikishia Mazingira Bora ya Uwekezaji - Rais Magufuli amemhakikisha mfanyabiashara wa Nigeria, Aliko Dangote kuwa itamwekea mazingira mazuri ya uwekezaji ili kuhakikisha kiwanda chake cha saruji... 12 hours ago Nafasi za Kazi Tanzania Job Opportunity at The East African Community, Program Management Officer - *Program Management Officer - Partnership Fund* (EAC/HR/2016-17/17) The East African Community is a regional intergovernmental organization comprising the ... 2 days ago POPULAR POSTS ALICHOANDIKA Zari Baada ya Kurudi Nyumbani Akiwa na Mtoto wa Kiume Hatimaye Zari na Diamond wamefanikiwa kupata mtoto wa kiume aliyezaliwa saa 10:35 alfajiri kwa saa za Afrika Mashariki, Jumanne, Decembe... WASANII Watano Matajiri Kupita Wote Afrika Watajwa..Mtanzania Mmoja Yupo Kwenye List Mara nyingi tumezoea kuona list za wasanii wakubwa wakitajwa kuingiza pesa nyingi zaidi Afrika, wiki hii imetoka list iliyoandikwa na eDai... ZARI Amejifungua? Diamond Aandika Ujumbe Huu Instagram Akielekea SA Akiwa na Mama yake Diamond Platnumz weekend hii amepost picha instagram akiwa safarini na Mama yake kuelekea Afrika Kusini huku kwenye picha hiyo akiwa amean... SABABU za Wanawake Kulia Baada ya Kufanya Mapenzi! Kulia baada ya kushiriki ngono au kufanya mapenzi ni kawaida na hushuhudiwa sana kwa wanawake, ijapokuwa imesemekana kuwa wanaume hulia pi... BAADA ya Wema Sepetu Kushambuliwa na Mashabiki wa Zari Kuwa Hazai, Aamua Kujibu Mapigo Baada ya mwanadada Zari the boss lady kujifungua mtoto wa pili "Riaz junior" Baadhi ya mashabiki walikuwa wakiingia kwenye ... TOP 5 ya Wasanii wa Bongo Waliomake Mkwanja Mrefu Kwa Huu Mwaka 2016 1.Diamond Huu jamaa katengenza hela nyingi sana mwaka kuanzia kwny endorsement zake, show, kuuza mziki kwny digital platform plus label y... WAIMBAJI Watano wa Bongo Flava Ambao Walichezea Shilingi Kwenye Shimo la Choo na Kupotea Hapana shaka hata kidogo mziki wa Bongefleva umepanda chati kwa kasi sana kimataifa hasa barani afrika na wanamuziki wake wamekuwa na usha... MTAZAMO Baada ya Rais Magufuli Kumtengua Lawrence Mafuru Msajali wa Hazina Miongoni mwa sifa kuu za ziada na za pekee za rais wetu Mhe. Dr John Pombe Joseph Magufuli, ni sifa ya kuwa mkweli daima toka ndani ya nafs... YALIYOJIRI Mwanza Mjini: RC, DC na CD Wataweza Kukalia Ofisi zao na Kutoa Maamuzi na Kueleweka? FM Radio zote za jijini Mwanza sasa hivi ni mjadala wa maamuzi ya Rais na zinawekwa Clip za matamko ya Mkuu wa mkoa, Mkuu wa wilaya Nyamag... KIFO cha Mchezaji wa Mbao FC Uwanjani, Baba Mzazi Afunguka Wadau wa soka nchini wameendelea kumlilia mchezaji Ismail Halfan wa timu ya vijana wenye umri wa chini ya miaka 20 wa Mbao FC ya Mwanza, a... Populars Comments Archive



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameitaja rushwa kama changamoto sugu ambayo bado inaendelea kulitafuna taifa la Tanzania katika miaka yake 55 ya Uhuru.

Rais Magufuli ameitaja changamoto hiyo leo akati akiwaongoza watanzania katika maadhimisho ya miaka 55 ya uhuru wa Tanzania Bara ikiwa ni mara ya kwanza tangu aingie madarakani na kutaja changamoto nyingine kuwa ni tatizo la ajira pamoja na umasikini.

Akizungumza katika hotuba yake ya shukrani katika maadhimisho hayo ambayo yamefanyika katika uwanja wa uhuru jijini Dar es Salaam, Dkt. Magufuli, amesema kuwa serikali yake itaendelea kupambana na vitendo na rushwa na ufisadi, kwa ajili ya kuliletea taifa maendeleo.

Aidha Rais Dkt. Magufuli amesema kuwa serikali itahikisha kuwa inaondoa uonevu hasa kwa wananchi wanyonge ikiwa ni pamoja na kutatua changamoto zinazowakabili ili kila mtanzania aweze kufaidika na matunda ya nchi yake.

Maadhimisho hayo ambayo kwa mujibu wa Rais Magufuli ndio ya mwisho kufanyika Jijini Dar es Salaam na kuanzia mwakani yataadhimishwa Dodoma, yamehudhuriwa na viongozi mbalimbali wastaafu na serikali pamoja na mabalozi wa nchi mbalimbali zenye uwakilishi hapa nchini

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.