Home »
KITAIFA
» SHILOLE Ashambuliwa Baada ya Kusema ‘Najivunia Mwaka 2016 Nimepata Bwana Mpya’
Msanii wa muziki Shilole amejikuta akishambuliwa na mashabiki wake wa muziki katika mtandao ya Instagram baada ya kuandika kitu cha utani kwamba anachojivunia ndani ya mwaka 2016 ni kupata bwana mpya.Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo ‘Mtoto Mdogo’ akiwa amemshirikisha msanii wa Singeli Man Fongo, hivi karibuni kupitia birthday yake alimtambulisha mpenzi wake huyo.Katika instagram yake Shilole aliandika:Mwaka unaenda kuisha je kipi umefanya cha maendeleo.???? Kwa upande wangu mm maendeleo yangu nimepata bwana mpya😂😂😂😂😂 jokingKauli hiyo iliwafanya mashabiki wa mtandao huo kuanza kumshambulia muimbaji huyo. Haya ni baadhi ya maoni ya mashabiki wao.Nick.mwendaVitu unavyovifanya leo najua baada ya miaka kumi ijayo ndo utaona faida yake au hasari zake hipo usiku hizo tatoo zitakukosti umri auludi nyuma Bali usonga mbelePiei_raitaEnzi uko bongo movie nilikua nakukubali kinoma ila ulipoingia bongo freva umekua ni mtu wakushobokea mabwana wadogo wadogo mwishoe utanitaka na mimiJesikamwalongoAngalia sana maisha yako usipende kuyumbayumba jua wewe no kioo kwa jamii,MbweniteggSihuyo unatuonyeshA bwana Mpya maendeleo kwa upande wako Sasa hatujui kama kakuowa au bado boyfriend na girlfriend zile za usichana bado anyway good for you and life is not fun,Fkibonde7Hv mpk ss umekuwa na mabwana wangap na kwa nn unapenda vijana wadogo na unahic watoto wako wanajifunza nn toka kwako.osca_johnKunakipindi pesa sikitu jitaidi kuzingatia umakini usipagawe naustaaaa tulia tafakari usileweshwe nasifa
0 comments:
Post a Comment