Friday, December 30, 2016

UFAFANUZI Kuhusu Taarifa za Kukamatwa kwa Watanzania Wanaodaiwa ni Majasusi Nchini Malawi

Baadhi ya Vyombo vya habari vya hapa nchini hivi karibuni vilitoa taarifa kuwa, Watanzania 8 wanaodaiwa kuwa ni majasusi wa Serikali ya Tanzania wamekamatwa nchini Malawi kwa tuhuma za kuingia kwenye mgodi wa urani wa Kayerekera uliopo nchini Malawi kinyume cha sheria.Taarifa...

HII ndiyo Simu ya Milioni 16.5 Anayotumia Bilionea Alhaj Dangote

Inasemekana hii ndio simu anayotumia Bilionea Alahaji Aliko Dangote. Inaitwa Nokia Vertu Signature. Bei yake ni kati ya $5000 hadi $7500. Ukibadilisha kwa pesa ya madafu ni kama milioni 16.5Tsh hivi. Alhaji sio mtu wa ki-spoti spotiMfanyabiashara huyu raia wa Nigeria anamiliki...

MAKUBWA Yafichuka Faru John

Maofi sa wa Wizara ya Maliasili na Utalii, wataalamu kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine (SUA), wafanyakazi wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) na maofi sa Taasisi ya Wanyamapori Tanzania (TAWIRI) wakiwamo madaktari, wakifanya uchunguzi wa Faru John baada ya kufa katika...

Wednesday, December 28, 2016

MPENZI Wangu Analilia Nimnunulie Gari Kukwepa Miluzi Barabarani

Asikuambie mtu presha ya mwanaume yoyote ipo pale anapojua kuna mbaya wake anataka kufaidi ile raha anayoipata yeye naumia kila niwapo faragha na mpenzi wangu nikiwaza vitu hadimu anavyonipa bila hiyana bila uchoyo na mchezo anavyouweza hadi nachanganyikiwa mtoto kweli mashalaaaa...

MREMBO Huddah Monroe aeleza sababu ya kuitosa Wasafi Beach Party ya Diamond

Wasafi Beach Party iliyofanyika Disemba 24, Jangwani Sea Breezy jijini Dar es Salaam, ilikuwa iwakutanishe mahasimu warembo Huddah Monroe na Vera Sidika jukwaani kama mahost.Wengi tulikuwa tukisubiri kushuhudia drama ya kufungia mwaka kutoka kwa warembo hao wa Kenya, lakini...

RIDHIWANIA Ainyoshea Kidole Serikali ya Magufuli. Asema Ajira Serikalini Bado zimesitishwa Hadi Sasa

RIDHIWANIA Ainyoshea Kidole Serikali ya Magufuli. Asema Ajira Serikalini Bado zimesitishwa Hadi S...

FAHAMU Namna ya Kuishi na Mpenzi Anayependa Fedha...

HAPA tunazungumza kuhusu mapenzi kama kawaida yetu. Leo nimekuja na mada ambayo naamini itawagusa wengi. Marafiki zangu, kusaidia katika mapenzi ni jambo zuri tena lenye mantiki sana.Suala la kusaidiana si la upande mmoja. Linaweza kuwa kwa wote, kwa mwanaume au mwanamke....

SHILOLE Ashambuliwa Baada ya Kusema ‘Najivunia Mwaka 2016 Nimepata Bwana Mpya’

Msanii wa muziki Shilole amejikuta akishambuliwa na mashabiki wake wa muziki katika mtandao ya Instagram baada ya kuandika kitu cha utani kwamba anachojivunia ndani ya mwaka 2016 ni kupata bwana mpya.Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo ‘Mtoto Mdogo’ akiwa amemshirikisha...

BODI ya Mikopo Kufanya Msako Nchi Nzima Kwa Waajiri Sugu Wasiowasilisha Makato na Majina ya Wadaiwa BODI

Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), Abdul Razaq Badru ameunda kikosi maalumu (Task force) kwa ajili ya msako wa kuwanasa waajiri sugu wote nchini wasiowasilisha makato na majina ya wanufaikaji wa mikopo ya bodi hiyo.Akizungumza na waandishi...

Tuesday, December 27, 2016

MAJANGA:Nimeamka Asubuhi Nipo na Mama Mkwe Kitandani...Nifanyeje?

Heka heka la jana si mchezo kabisa, nilikata moto kama ngoma sita ilikuwa Bar moja nilienda na familia kupata burudani ya mziki live Band, sasa wife hakukaa sana na ilivyofika saa tano akasepa na watoto akaniacha na mdogo wake wa kike na mama mke ambaye ni mama mkwe.Nikiri...

FARU John Wajanja Walishamnywa Kitambo, Pembe zilizoonyeshwa ni za Faru "Hadija"

Gazeti la Jamhuri limeripoti kuwa FARU John Wajanja Walishamnywa Kitambo, Pembe zilizoonyeshwa ni za Faru "Hadija" ...

JINSI Punyeto Inavyoathiri Nguvu za Kiume

Kupiga punyeto kwa muda mrefu ni moja kati ya vyanzo vikuu vya tatizo la la ukosefu wa nguvu za kiume. Asilimia kubwa ya vijana wenye tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume, linasababishwa na upigaji wa punyeto kwa muda mrefu.JINSI PUNYETO INAVYO SABABISHA UKOSEFU WA NGUVU ZA...

ZITTO Kabwe na Make Wake Wapata Mtoto wa Kike

Ameandika ''Mimi na Mke wangu mpendwa tumebarikiwa na Allah kupata mtoto wa kike. Mtoto na mama yake wana afya njema kabisa, Mashaallah. Mtoto amezaliwa saa moja na dakika 45 asubuhi leo Disemba 27, 2016''''.''Binti yetu ataitwa Josina - Umm Kulthum. Josina kwa heshima ya...

EDWARD Lowassa: CCM Isijidanganye

Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa ameitaka CCM iache kujidanganya kuwa haiwezi kuondoka madarakani akiitaka iangalie alama za nyakati hasa mabadiliko ya uongozi yanayotokea kwingineko duniani.Hata hivyo, Lowassa ambaye ni mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA amesema unahitajika...

AY Amtambulisha Mchumba Wake...Ndoa Hivi Karibuni

Mwanamuziki Ay kwa Mara ya kwanza amemtambulisha rasmi Mpenzi wake....Habari hii Leo imekuwa gumzo mitandaoni kwa wengi walikuwa wakijiuliza Ay mpenzi wake ni nani hasa baada ya Swahiba wake wa Karibu Mwana FA Kuoa.... ...

WALIOFAULU Usaili wa Kazi Serikalini Watakiwa Kuomba Ajira Upya

Waliofanya usahili serikalini, wakafaulu lakini kabla ya kupangiwa vituo vya kazi ajira zikasitishwa; watakiwa kuomba ajira upya.Taarifa ya Sekretarieti ya Utumishi wa Umma imesema kuwa huo ni utaratibu wa kawaida wa sekretarieti hiyo.Aidha majina ya waliofaulu huhifadhiwa...

Sunday, December 25, 2016

MWANAUME Ongeza Ukumbwa wa Umbile (Cassava) lako Kwa Kutumia Kifaa cha Handsome Up....

Handsome up ni kifaa chenye uwezo wa 99% kuongeza uume kwa uhakika na bila madhara. Inapatikana kwa @170,000/=tu. PIA kuna Gely ya kupaka @ 120,000/= na Vidonge maalum kwa ajili ya kuongeza nguvu na hamu ya tendo la ndoa @120,000/=.Wasiliana nasi kwa no (+ 255 ) 0767447444...

FARU John Huyu Hapa, Lindo lake lilikuwa Sh215,000 Kwa Kila Siku

Wakati Waziri Mkuu ameagiza kaburi la Faru John lifukuliwe na kuchukuliwa vipimo vya vinasaba kuthibitisha kama pembe alizopelekewa ni zake, mabaki yanayoaminika kuwa ni ya mnyama huyo (pichani) yameonekana yakiwa porini katika eneo la Grumeti, wilayani Serengeti alipofia.Vilevile,...

BILA Tume Huru Wapinzani Wasahau Kuingia Ikulu – Kingunge

Mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale Mwiru amesema bila ya kuwa na tume huru ya uchaguzi na katiba mpya, vyama vya upinzani visahau kushinda urais katika uchaguzi mkuu ujao.Kauli ya mwanasiasa huyo mkongwe imekuja siku moja baada Rais John Magufuli kumteua Jaji Themistocles...

UKWELI Kuhusu Lulu Diva Kutoka Kimapenzi na Barnaba Classic

Mwanadada ambaye ameingia kwa kasi ya aina yake kwenye game ya bongo fleva, Lulu Diva, amevunja ukimya na kufunguka kuhusu skendo za yeye kulala chumba kimoja na msanii Barnaba Classic, walipokuwa wamekwenda kufanya video nchini Afrika Kusini.Akifunguka kwa watanzania kupitia...
Powered by Blogger.