Thursday, December 1, 2016

AHARUKI...Panya Road Wavamia Nyumba na Kupora..Majirani Washindwa Kusaidia


DAR: Kundi kubwa la vijana wanaosadikika kuwa ni 'Panya Road' wavamia nyumba moja na kupora vitu mbalimbali usiku wa kuamkia leo.

Inadaiwa kuwa mhanga wa tukio hilo alijaribu kuomba msaada kwa majirani bila mafanikio kwakuwa majirani hao waliogopa kutoka na kupambana na Panya Road hao.

Mmoja wa majirani amenukuliwa akisema kuwa Vijana hao walikuwa na Mapanga Marungu, Jambia na Baruti walizokuwa wakizilipua ili kutisha watu kuwa ni Risasi.

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.