Thursday, December 1, 2016

SIMU za Smart Phone Zimetufanya Tupoteza Ubinadamu....


IT'S VERY SAD....hapa ndipo tulipofikia. Juzi nipo katika gari mzee aliyekuwa na baskeli aligongwa AKIWA KATI YA BARABARA...Watu wanapiga PICHA huku wakitania...ATAKUWA AMEVUNJIKA KIUNO(mocking).. Huku wengine wakijipiga Selfie Badala ya Kumsaidia .....Very sad. You DON'T KNOW UR TOMORROW

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.